Choose Your Color

shp1.png

Miradi yetu

Bofya hapa kwa maelezo zaidi.

Mtazamo Wetu

Bofya hapa kwa maelezo zaidi.

Malengo Yetu

Bofya hapa kwa maelezo zaidi.

Changia KIIF

Bofya hapa kwa maelezo zaidi.

shp2.png shp3.png
KIIF

Kuhusu KIIF

Kigogo Islaah Islamic Foundation (KIIF), ni taasisi ya Kiislamu iliyopo Kigogo-Kinondoni Dar Es Salaam Tanzania. Taasisi hii imejikita katika maendeleo ya Kiislamu kiuchumi na kijamii. Kutoa misaada panapo stahili kutolewa, kutoa elimu kwa jamii na huduma za Afya.

Miradi

Miradi ya KIIF

Pia tuna Mradi

wa ujenzi wa Hospitali kubwa Kigogo bofya hapa kuona Ramani

Chuo cha Ualimu

Chuo hiki kinamilikiwa na Masjid Islaah Kigogo.

Eneo la Duka

KIIF inamiliki sehemu ya kufanya biashara (Frame) ambapo kwa sasa imekodishwa tayari.

Parking za Magari

Kigogo Islaah Islamic Foundation inamiliki eneo linalotumika kwa kulaza magari.

Eneo la Shule ya Awali

Pia KIIF inamiliki eneo ambalo kwa sasa linatimika kama shule ya awali.

shp4.png shp5.png
Mtazamo

Mtazamo wa KIIF

Kupeleka mbele gurudumu la Uislamu kwa ujumla, kutoa elimu katika jamii kwa ujumla na kuboresha Afya za wanajamii, ikiwemo kuwasaidia na kuwawezesha wahitaji misaada.

Tafadhali changia KIIF katika kufanikisha shughuli zake

Changia KIIF
shp5.png shp6.png

Malengo ya KIIF

Malengo yetu ni kupeleka Elimu mbele kwa watu wetu, pia kusaidia pale patakapo msaada. Kupeleka huduma za kijamii mbele, kwa mfano huduma za Afya, Walemavu, Yatima na Wajane, pia kupeleka waumini katika ibada ya Hijjah, na kubwa kabisa Kulinda Amani iliyopo kwa gharama yoyote.

Muda wa Sala Dar Es Salaam

  • SalaAdhanaIqamah
  • Fajar04:15 am04:42 am
  • Sunrise06:06 am06:06 am
  • Zuhr12:00 pm12:22 pm
  • Asr03:50 pm04:00 pm
  • Maghrib06:38 pm06:38 pm
  • Isha07:45 pm07:50 pm